ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 16, 2012

BONDIA KING CLASS 'MAWE' AENDELEA KUJIFUA KUMKABILI SAIDI MUNDI DESEMBA 9

Bondia Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar Es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.

Bondia Ibrahimu Class 'King Class mawe' akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Katika Kambi ya Ilala Dar es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi wa Tanga utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.