ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 4, 2012

WA HAPA HAPA

Nanunua mzigo nami chomboni ni wafanyabiashara eneo la stand ya tax na daladala mbele ya lango kuu soko kuu Mwanza.

Chambo kwaajili ya kuvulia samaki anasakwa ndani ya mfereji mkuu wa maji eneo la Kirumba.

Mpango wa jiji safisha mitaro ya eneola barabara ya soko la Kirumba inaendelea.

Zoezi hili linafanyika leo jumamosi. Swali ni jeh! vifusi hivi vya mchanga na taka vitaondoka kwa muda sahihi? ngoja tuone endelea kufuatilia....

Ni biahsra katika eneo la Kamanga Ferry jijini Mwanza. Ramadhani hii imeangukia msimu wa mavuno, Alhamdulilah neema ya Mwenyezi Mungu imetumwagia.

Unaiju hii kitu ya Nyahindi?

Nasikia mchanganyo wake ukiutumia waweza tembea umbali mrefu bila kujistukia yaani full ganzi. Kama ni Dar- Mwenge hadi Posta, kama ni Zoo- Nyakato hadi Airport, na kama ni Ar- Sakina hadi Njiro... Babake...

Tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukionekana kuokota makopo utawekwa kwenye kundi la watu wenye akili fulani but now days ni dili tena linalowahusisha wenye akili zao watengenezao fedha. 

Jamaa huyu muuza fagio yu mkarimu saana kwa wateja wake na ana lugha ya mvuto kwa biashara aliniambia jina lake any wayz wanaojua watanikumbusha....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.