ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 25, 2012

SIKILIZA ALICHOKISEMA MASHA LEO WAKATI AKICHUKUWA FOMU KUGOMBEA NAFASI UJUMBE WA NEC WILAYA YA NYAMAGANA

Mh. Lawrance Masha akichukuwa fomu kugombea nafasi ya U-NEC Wilaya ya Nyamagana kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana Deogratius Lutta tukio hilo limefanyika leo katika ofisi za CCM Nyamagana jijini Mwanza.

Mh. Lawrance Masha akisaini kwenye daftari la waliochukuwa fomu kugombea nafasi ya U-NEC kupitia Wilaya ya Nyamagana mbele ya Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana Deogratius Lutta (aliyeshika kichwa) sambamba na wadau wengine walio msindikiza kukamilisha zoezi hilo.
Mchakato wa kugombea nafsi ya U-NEC wilaya ya Nyamagana ni pamoja na Bw. Emmanuel Masalu Ngofilo, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mahina Bw. James Bwire, Bw. Bakari Kimwaga, Afisa Uhusiano wa MWAUWASA Bw. Robert Maswanya na Othman Ally.

Wengine ni Faraj S Faraj, Moric Deya, James Joseph Nyamasiriri na Lawrance Masha aliyechukuwa leo.

Mh. Lawrance Masha

Sikiliza hapa wakati akizungumza na waandishi wa habari. (Bofya Play)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.