ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, July 7, 2012

MPANGO MZIMA NA MAMBO YA WEEKEND

Akaanga chips juu ya kichwa cha mtu ni kwenye tamasha la Coca cola viwanja vya CCM Kirumba.

Hapa afande hapa mie katika usiku wa Safari Lager Shooters Pub Mwanza...

Kushoto ni Jitah Man, Afande Sele na mwana kutoka Watu Pori.

Ni mwendo kushow love Mr. Rock Marrow wa TBL Mwanza (kushoto) akiwa na mdau wa Safari Lager .

Share the fun tuiwa na mzee mzima John Tegete (pale kati).
Meza ya wadau wa Watu Pori.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.