ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 6, 2012

KONGAMANO LA KUWEZESHANA NA KUONGEZA UELEWA JUU YA MCHAKATO WA MASUALA YA KATIBA KWA WATU WENYE ULEMAVU ULIOANDALIWA NA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

 Bwana Gideon Mandesi kutoka taasisi ya Dolasedi akiongea na waandishi wa habari juu ya mpango wa kuwakilisha mapendekezo ya pamoja ya watu wenye ulemavu kwa kamati ya kukusanya maoni ya katiba.
 Makalimani akiwaelezea washiriki wenye ulemavu wa kusikia majadiliano yalikuwa yanaendelea kwenye kongamano hilo.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Bwana Deus Kibamba akiwajengea uwezo jamii ya wenye ulemavu nchini namna watakavyoshiriki kikamilifu katika mchakato wa katiba unaoendelea nchini.
Watu wenye ulemavu wakiwa katika kongamano la kuwajengea uwezo namna watakavyoshiriki katika mchakato wa kukusanya maoni ya katiba.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.