ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 13, 2012

KALIWA BURE........!!!!!

John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji,
Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.
Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja".
John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana"

Lisa akabaki ametoa macho kumbe ametoa bure!!!

Kituko na Starehe mushi

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. duu kwahiyo demu kaliwa kwa pesa za mkopo za bwanake

    ReplyDelete
  2. Mtaka vya bure hugongwa bure.

    ReplyDelete
  3. hii stori kama imelenga watu fulani live kwani majina yana gonga mule mule na huyo lisa ni Elizabeth, nizibeni mdomo nisiropoke

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.