ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 4, 2012

KIROBA ORIGINAL CHATINGA KATIKA MAANDALIZI SHEREHE YA MIAKA 35 YA KUZALIWA CCM

Mkuu wa masoko toka Megatrade Investiment Limited James Njuu (wapili kulia) akikabidhi katoni ya K-Vant kwa Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Mwanza Simon Mangelepa itumike kama sehemu ya kusherehesha maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa Chama cha mapinduzi. Aliyesimama katikati ni Mjumbe kamati ya siasa Ally Mambile na afisa habari CCM Mwanza C. Katulanda.

Mkuu wa masoko wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd James Njuu amesema kampuni yake iko kwaajili ya kusherehesha mahali popote na watu wote kwa kuzingatia umri hivyo kwa kutambua kuwa kwenye maadhimisho hayo marafiki watakusanyika toka sehemu mbalimbali basi si hasara kuburudika na kinywaji chenye faida kilicho na nguvu mwanzo mwisho 'KIROBA ORIGINAL'.

Maandalizi nje ya mjengo yanaendelea kama kawa watu wakijinunulia sare.

Hapa biashara inafanyika.

Ni matayarisho tu kwa misafara.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.