Rais Jakaya Kikwete akimwapisha rasmi Balozi Yohana Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisisitiza jambo kwa viongozi wakuu, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa tatu kulia), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi aliyemaliza muda wake, Phillemon Luhanjo muda mfupi baada ya kumwapisha Balozi Ombeni Sefue kuwa Katibu Mkuu mpya, Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).
Marwan Issa: Marekani yatangaza kuuawa kwa kiongozi wa Hamas Gaza
-
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani Jake Sullivan alithibitisha
katika taarifa fupi kwamba Naibu Kamanda Mkuu wa Brigedi za Al-Qassam -
tawi la kijes...
46 minutes ago