African stars Entertainment Tanzania wanakuletea Bendi nzima ya Twanga Peteta ili iweze kufanya nao Makamuzi Live ndani ya Nchi ya Uingereza.Hii si yakukosa mazee kwani inatokea mara moja moja tuuuu!!! Safari hii ni Terehe 26.05.2011, Usikose mwanawane!!
Polisi waendelea kuwabana wanavunja Sheria, Wananchi waomba operesheni 3D
iendele.
-
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi-Arusha.
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kimeendelea na operesheni ya
kutoa elimu na kuwakamata wale wote wanaoe...
42 minutes ago