ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 19, 2011

SIYO KUTEMBEA TU.. NASAFIRI PIA!!

Kumekucha katika kijiji cha Mwandoya makao makuu ya jimbo la Kisesa wilayani Meatu mama akiwasha moto tupate kifungua kinywa.

Ndoo zitalala hapa shwaaaari bila mlinzi ni foleni kusubiri maji, Fanya hivi kwetu mujini uone!!!.

Vielekezi Jiografia.

Hicho kistuli mwanawane ni Sheli aka kituo cha mafuta kijijini hapa.

Nyumba bora na salama nilizokutana nazo njiani.

Yawezekana ulikuwa ukiyatafuta sana mawasiliano haya..au kama vipi kesho utayahitaji.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.