Pichani pale kati Shaggy akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni mmoja wakurugenzi wa Prime Times Promotion Godfrey Kusaga(kushoto) sambamba na wadau husika show ya kwanza Serengeti Fiesta 2011 itakayofanyika Jumapili hii (26juni2011)
Mwenyekiti wa Bodi ya Serengeti Breweries LTD Bwana Mark Bomani akisalimiana na Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy mara baada ya kutua uwanja wa ndege Mwanza kwaajili ya kutoa burudani ndani ya msimu wa Dhahabu 2011.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.