ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 17, 2011

CONGRATULATION DEBORA KERENGE ON YOUR SEND OFF PARTY

Bi Harusi mtarajiwa Debora Kerenge akikata utepe kuashiria ufunguzi wa sherehe katika himaya ya ukumbi wa Matero Inn Musoma.

Flowers wa bi harusi mtarajiwa na shine zao.

Rasmi Debora katika red kapeti mara baada ya kutoa baraka kuwa na sherehe ianze.

Keki time.....

Swagga za kwaitoz ziliposwichiwa kuruhusu wajuzi wa mambo shughulini kumjoin bi Debora.

Haina majotrooo na huku basiiiii.....

Bwana Gabriel Ryotam na Familia yake wakiwasilisha zawadi kwa bi harusi mtarajiwa, pembeni mwenye suti black ni Mc Job wa Mwanza Sherehe Club aliyesimamia show hiyo kikamilifu.

Sekta ya misonsomolo' chumvi kwa rula na kujisevia: Hapa Bi Debora akishea na mumewe mtarajiwa yaliyomo mezani.

Kitu cha Twisti ....

Aliye kati ni dada wa biharusi mtarajiwa Mama Patra ambaye pia dizaina wa shughuli nzima.

Aliyesimama ni Baba wa bi harusi Mtarajiwa Bw.Seleman Kerenge.

Bi harusi mtarajiwa hakusita kupita meza baada ya meza kutoa shukurani kwa waliohudhuria hafla hiyo, hapa ndipo alipoifikia meza yetu na katika pozi akiwa na Oliva Sengo.

Kila la kheri na baraka tele ziwashukie katika ndoa yenu Bi Debora Kengere na Bw. Marwa Sylvanus Zembwela mnayotaraji kufunga siku ya jumamosi ya tarehe 18 juni 2011 Musoma mjini.

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. all the best Deborah,...GOD bless u'all
    much love

    ReplyDelete
  2. TWAS A NICE ONE OF A KINDA.....SHOWERS OF BLESSINGS, BY MDAU MAMA K MWANZA

    ReplyDelete
  3. yuster and mwita........

    BIG UP UNCLE N AUNT IKOPOA MMEFUNIKA ILE MBAYAAAA!!!!

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.