ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 26, 2011

MZEEEYAH SHAGGY APAGAWISHA WAKAZI WALIO LIVE ILE KINOMANOMA!!!....!!!!

Top Caribbean entertainers, Orville Richard Burrell aka Shaggy leo ametoa burudani ya kufuka mtu kwa wakazi wa Mwanza, vitongoji vyake na mikoa ya karibu waliohudhuria Tamasha la kwanza la Serengeti Fiesta Kirumba Mwanza.


Pagawa na nyomi.

Hii Jeh!

Mavocalisti wa Shaggy wakisababisha!

Katika steji jamaa ni mnoma!

B12,Zama,Mama Jonii na Mchomvu ''Haya Twendeeeeeh!!

Yes we are watching.

Na yako macho...

Mbunifu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Ally Remtullah naye alikuwemo sambamba na kushuhudia show ya kwanza nchini pia alikuwa na banda maalum kwaajili ya kuuza Bidhaa za ubunifu wake hapa katika pic na Rock Citiz Sharobaros.

Barnaba na wana wa Rock City eh bwanaaaeeeH!!

Serengeti Oyeeeeh!!

Lejendari-Hipitihipopu' wakiwa back stage.

Cosmo wa kipindi cha Caribean Beat Clouds Fm na wanachama wenzake.

Kama kawaida yake msanii Diamond alilimiliki vilivyo jukwaa na kucheza na wana Mwanza.

Mc wa shughuli Adam Mchomvu aka Baba Joniii' akichanwa 'Kifrii staili' na mjunki mmoko hivi aliyepanda stage kufanya makeke.

Fid Q aliwaongoza wasanii wote waliodrop Mwanza kusherehesha Fiesta 2011 katika DAKIKA MOJA YA UTULIVU kwaajili ya kumbukumbu ya aliyekuwa Mtangazaji Mheshimiwa Mbunge Amina Chifupa aliyefariki dunia tarehe 26/juni

Haina Majotrooo! Hawa waliamua kujitenga kabisa kwenye kona na kuamua kutupia kitu cha kiduku!

Mtangazaji wa Soso-Fresh Reuben ndege aka mzeeeeyah aka Ncha Kali shukurani kwa wakazi wa mwanza na tathimini mahojiano.

Fire Works zilipigwa kuashiria hitimisho la show.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Dah!ilkw ni noma,watu nyomi,weh watu wa mwanza wameenjoy ile mbayaaa!Hv Dar atakuja Usher Raymond au stor tu???????

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.