Ni katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Leo tareha 21/05/2011. Kwa Kiingilio cha shilingi 3,000/= tu! 20%, Joe Makini, Linah, Barnaba, Sam wa ukweli, Mataluma, GodZilla, Mpoki, Wote hawa kutumbuiza.
Wataalam wa Sound toka Prime Times Promotion wakipata kitu cha supu' Mwanza..
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.