Wakiongozwa na jeshi la Polisi nchini mashabiki wa vilabu mbalimbali vya Ulaya jijini Dar es salaam hii leo wameandama hadi viwanja vya Leaders Club kwa ajili michezo ya ufunguzi wa Tamasha la Fiesta 2011 kupitia soka ambapo mashabiki hao waliunda timu zao ambazo zilizotengenezewa ligi ya inayoendelea sasa viwanjani hapo. Mashabiki wa Mwanza na mikoa mingine jiandaeni... Taarifa zaidi sikiliza Clouds FM. Time hii vipute vikiendelea kama kawa.
'Mumeo anateswa, na ni kosa lako'
-
Sauti katika simu ilimwambia ikiwa atafanya uhaini dhidi ya Ukraine, Dima
ataweza kutunzwa vyema gerezani, au hata kuachiliwa mapema.
SHANGWE POPOTE UKIWA NA M-PESA YAWAFIKIA MBEYA
-
*Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja
wa ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.