ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 12, 2011

EPIBAZIDEI YA KUZALIWA KWA>>>

Ladie's first:- Mary Misoji Ngoboko huyu ni mwandishi wa habari jijini Mwanza, mwanachama wa Mwanza Press Club (MPC) vilevile yu mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya MPC.


Then men:- Suka 'suka' Huyu ni mkuu wa Idara ya Muziki ndani ya Radio ya watu (Clouds Fm) amekuwa na ushirikiano wa dhati na watu rika mbalimbali wa sekta ya burudani na hata mara nyingine kujitolea ktk kufanikisha safari za mafanikio kwa baadhi ya wasanii.

Blogu hii yasema "HAPPY BIRTHDAY 2 U'ALL".

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.