ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 15, 2011

KOSHA MACHO NA VINYAGO VYA KWETU...

Niko nje kidogo ya mji wa Arusha panaitwa Manyara kibaoni, barabara kuelekea Serena Lodge Hotel nakutana na banda la bidhaa za jadi kilizotengenezwa kwaajili ya mapambo kwa nyumba.

Ni zaidi ya ubunifu kwa sanaa za mkono zilizopo katika duka hili.

Viatu vya jadi maray'yo aka makatambuga na marimba.

Sanaa.

Picha za ukutani..

Part two.

Zana asili zilizotumika toka makabila ya wamang'ati, wamasai na wameru nazo zinauzwa hapa.

Ni nyenzo nyingi za bidhaa asili zinapatikana hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.