ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 23, 2011

TAARIFA ZA MSIBA DJ SUMMER DEE AFARIKI DUNIA

HABARI zinasema kuwa Summer Dee (summer dance) amefariki dunia leo majira ya saa 12 asubuhi, katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza ambapo alilazwa tangu siku ya jumanne ya wiki iliyopita mara baada ya kuzidiwa kwa maradhi ya ini. DJ Summer Dee aliyejinyakulia sifa na kufahamika zaidi wakati akifanya kazi miaka ya nyuma kama Dj ndani ya Clouds Fm Arusha na Dar es salaam. Mpaka anafariki dunia marehemu alikuwa mwajiriwa katika Kampuni inayojihusisha na Uchimbaji wa madini ya Dhahabu mkoani Mwanza iliyopo wilayani Geita iitwayo 'Geita Gold Mine'.

Mazishi yatafanyika leo saa kumi jioni jijini Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.