ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 14, 2011

DALADALA MWANZA WAGOMA KUTOA HUDUMA KISA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA

Hali ya leo mwanawane ndani ya mwanza... hakuna daladala iliyofanya kazi nimgomo kwa kwenda mbele - eti tupandishiwe nauli.

Hiki ni kituo kinachouza nafuu...Bei ya mafuta ya petrol imepanda toka shilingi 1,910 (bei mpya soma bango) vingine vinauza hadi shilingi 2,000.

Maroli ya mchanga-Usafiri mpya katikati ya jiji.

Abiria mkazi wa pasiansi wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, akilalama mbele ya kamera ya Clouds Tv.

Baadhi ya Makonda na Madereva wa Daladala wakiwa wamekusanyika kwa pamoja,kwamba wamegoma kabisa na hawataki kusikia chochote zaidi ya sereikali kutoa tamko ya hatma yao.

Usafiri kuelekea Igoma leo..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.