ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 24, 2011

HAPPY BIRTHDAY ELIAKUNDA.

Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa mtoto mzuri Eliakunda wa Rock City sherehe ya siku yake hiyo ilifanyika katika eneo la kwa Komba, Bwiru.

Kushoto kulia Chiazzzzz na frends, mwenye borzdei ni huyo binti katikati.

Tamuuuuuu ya keki hadi usingizi' Yahla!

The study of friendship is included in the fields of sociology, Askwambie mtu Kumbatio kama hili ni adimu hata kama kuna baridi kiasi gani linaletra majottroo! Pichani kushoto mwenye gauni ndo mwenye shughuli (brzdy) Eliakunda akiwa na shost wake..













Ingia kati tuyaone maringo yake bingiribingiri cho.... Hapa zimatingaz skwea' zimekwisha ingia maali yake..tehe!

Picha ya pa1.

HAPPY BIRTHDAY Eliakunda.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.