ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 28, 2010

MKUTANO WA BENKI YA DUNIA MWANZA.

KUTOKA KUSHOTO NI MATIA LEVI AMBAYE NI AFISA MIPANGO OFISI YA MKUU WA MKOA MWANZA, MWENYEKITI WA KUSANYIKO HILO BW. WAMBURA SABURA (KATIBU TAWALA MSAIDIZI SEKSHENI YA MIUNDOMBINU, OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA) PAMOJA NA WARATIBU TOKA BENKI YA DUNIA CHIYO KANDA NA ADAM.

Mkutano wa kujadili Mpango wa miaka 5 wa Benki ya Dunia wa kusaidia Tanzania umekamilika na mkutano ulifanyika tarehe 13/12/2010, Hoteli ya Nyumbani jijini Mwanza, Washiriki wa mafunzo hayo walikuwa wakuu wa Seksheni,idara na vitengo toka Serikali kuu, Serikali za Mitaa na taasisi zisizo za Serikali.
Tofauti iliyopo katika ukuaji wa sekta na miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki ya dunia kati ya mwaka 2007 na 2010.

Mmoja kati ya washiriki akichangia katika kuainisha changamoto zinazo kwamisha mipango ya maendeleo kwa miradi inayofadhiliwa na benki ya dunia.

Je! maendeleo kiasi gani yamepatikana?
Je! Juhudi za kuondoa umaskini zimefanikiwa?
Je! Miradi imelenga Vipaumbele sahihi?
Meneja wa uhusiano jiji la Mwanza mr. Joseph Mlinzi akichangia kwenye mkutano huo.


Country Assistance Strategy (CAS)(1)
World Bank Group’s business plan in support of a country’s development strategy and poverty reduction goals. Provide a framework for areas of Bank support and modalities/approaches, based on country’s priorities, other partners’ support and Bank’s comparative advantages. Normally prepared on a four-year cycle.


New CAS (Country Assistance Strategy): Overall Approach Starting point was MKUKUTA II(mkakati wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini Tanzania/Poverty Reduction Strategy for mainland Tanzania) & MKUZA II(mkakati wa kupunguza umaskini Zanzibar/Poverty Reduction Strategy for Zanzibar).

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.