ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 11, 2010

MIAKA 10 KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MAMA.

EVELYN NASHON RYANNA
16/JULY/1959- 10/JULY/2000.


EVELYN NASHON FROM 10/JULY/2000 - HADI LEO TAREHE 10/JULY/2010 YAPATA MIAKA KUMI SASA TANGU ULIPO TUTOKA.
HAKIKA UMETUACHA NA SIMANZI KUBWA, UMETUACHA NA MAJONZI EWE MPENDWA ULIYEKUWA KIUNGO KATIKA FAMILIA.
UNAKUMBUKWA SANA NA MARAFIKI ZAKO, UNAKUMBUKWA NA NDUGU ZAKO NA ZAIDI MTOTO WAKO WA PEKEE OLIVER J. RYANNA (OLIVER G.SENGO).
IBADA YA SHUKURANI IMEFANYIKA LEO KATIKA KANISA LA MENONITE MUSOMA MJINI NA BAADAE JUMUIKO LA NYUMBANI.

MAMA YETU EVERYN NASHON PUMZIKA KWA AMANI .

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

AMINA .

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. Apumzike kwa amani. Tupo pamoja na tuzidi kumwombea mama.

    ReplyDelete
  2. OMG Bro G ya Mum Inlaw gone too Young only 40yrs jamani poleh shemeji yetu i know its hard na wala sijui uliachwa na umri gani.Uzidi kumwombea mummy yetu.

    ReplyDelete
  3. Kuna wakati mwingine mwanadamu anaweza kutamani jambo lingekuwa hivi (kama apendavyo yeye)au pengine kunung'unika hata akamkufuru mungu. Bahati mbaya kwangu sikuwahi kumuona, kwani nilianza urafiki na mwanae na hatimaye ndoa wakati yeye (mama mkwe)akiwa tayari kwesha fariki.
    Nilitamani kumwona mama mzaa chema.
    Lakini kazi yake mola.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.