ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 7, 2010

HAPA NA KULE.

MDAU WA BLOG HII MM0JA ALINIOMBA NIMPATIE PIC ZA JAPO NYUMBA AU MAZINGIRA YA MIANZINI ARUSHA, CHUKUWA HII INGAWA SIKUWEZA KUINASA FRESH KUTOKANA NA SPEED YA GARI.

ENEO LA PEMBENI KUPANDISHA SANAWARI MJINI ARUSHA.

KWA NINI MKOA WA ARUSHA ULINYANG'ANYWA HADHI YA JIJI!? WAKATI NIKIWA NA HILO KICHWANI, NIMESHUHUDIA KATIKATI YA MJI BARABARA NYINGI MBOVU, DUH! NA VIKAO VYOTE VILE MJENGONI!? . KIUKWELI SUALA LA MIUNDO MBINU NALIONA LIPO VINYWANI MWA WATAWALA WETU NA SIYO KATIKA UTEKELEZAJI.

WAKATI JIJI LA MWANZA LIKITUNUKIWA TUZO YA 5 MFULULIZO KATIKA SUALA LA USAFI MIJI MINGINE NCHINI TANZANIA KWA KWASI INALIENDELEZA SUALA LA USAFI. PICHANI BUSTANI INAYOPENDZESHA MANDARI MJI WA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO. MEKUU.. MWAMBIE MASAWEE MAMBO YOTE TAREHE 10 'LA LIGA' FIESTA.

WANANCHI KATIKA UTAFUTAJI SEHEMU FULANI TANZANIA.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. asante sana kaka gsengo kwakutujali sisi wanablog wako asante japo nimeona kidogo sehemu ya arusha umefanya vizuri kuonyesha picha ya arusha lakini pale sema barabara mbovu hujaandika hapo ni wapi naomba safari nyingine ukituwekea picha utueleze ni sehemu gani maana wengine tumetoka nyumbani sikunyingi tumesha sahau maeneo kutoka mabadiliko ya mji na ujenzi asante kwa picha endelea kutuletea zaidi

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.