ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 3, 2010

LEO NI ANNIVERSARY YA NDOA YANGU. (MIAKA 4)

ILIKUWA TAREHE 3JUNE2006 KANISA LA ANGLICAN ARUSHA.

LEO NAAMKA ASUBUHI ILE NAMALIZA MAZOEZI TU BRO EDGAR ANIAMBIA KUNA KITU NJOO UONE (sijui hili wala lile) MARA KABAA!KEKI JUU YA MEZA NA MAANDISHI YAKE YASOMEKAAA.....
I WISH KAMA WIFE ANGELIKUWA KARIBU BUT YUKO MWANZA NAMI NIKO DAR KIKAZI.

MWAKA 2006 ILIKUWA HIVI:- UKATAJI KEKI.

CHIAZ MIE NA NAYE NA WAPAMBE WETU...

BWASHEE EDGER MAPANDE.

NI MENGI TWAWEZA SEMA LAKINI MOJA TU NDILO LENYE THAMANI NALO NI "AKSANTE MUNGU KWA YOTE ULIYOTUWEZESHA"

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. hongera sana kaka,am so happy for u guys,miaka minne si mchezo mwana,naamini enjoyments ktk ndoa zaendelea kama kawa,kwaniaba ya UJAZO CREW nakutakia maisha mema yaliyo jaa furaha na upendo,its yo bra..dee7(ujazo.blogspot.com)

    ReplyDelete
  2. hongera sana kaka mungu na azidi kuwabariki ndoa yenu izidi kudumu daima na milele amina

    ReplyDelete
  3. Kila jema na fanaka katika maisha ya ndoa..

    Mungu awe nanyi..pamojah

    ReplyDelete
  4. Happy anniversary to both of u.. Wish you 25 years of happy anniversary. Joan

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.