ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, May 26, 2010

USIJESEMA SIJAKWAMBIA CHUNGUZA MJOMBA ........


habari,
nilikuwa nikipita katika mtandao nikiperuzi peruzi,
daah nimekutana na habari za kunistua saana
kuhusu freemason, kama nilivyosoma ngoja nicopy na kupaste
hii habari iliyoandikwa na kithuku

Freemason mwingine maarufu ambaye anataka kukamilisha kazi ya kuwawekea binadamu wote alama ili iwe rahisi zaidi kuwakontrolu (kwamba asiyekuwa na alama hii hataweza kushiriki manufaa ya ulimwengu huu ambayo yatakuwa ni makubwa sana) ni Rockfeller, tajiri mwenye Foundation/Institute inayo-sponsor mambo mengi ya maendeleo duniani. Rockfeller na freemasons wenzie wana vision yao ya wanachokiita "New World Order" (pata details hapa: http://www.nexusmagazine.com/articles/rockefeller.1.html). Katika vision hiyo, Rockfeller anapendekeza mradi wa kuwawekea binadamu wote "microchip" mwilini, ili rekodi za kila binadamu ziweze kufuatiliwa katika computer moja ulimwenguni kote, na ziwe accessible kupitia connection ya satellite. Kwa hiyo hicho ki-microchip kinakuwa na unique identification number kwa kila mwanadamu ( kama zile identification codes za bidhaa kwenye supermarkets), ukipita popote hakuna haja ya kuulizwa kitambulisho, hiyo microchip ndiyo access code. Asiye na microchip akitaka kupita kama ni kwenye huduma (airport, hospitali, maktaba etc) milango inakataa kufunguka! Kwenye hospitali huhitaji kutaja jina lako, ukiingia tu chumbani kwa daktari, kuna chombo kinasoma microchip iliyoko mwilini mwako, mara moja rekodi zako zote zinatokea kwenye screen ya computer ya daktari! Hakuna kuulizana majina, sijui umri nk. Mengi kuhusu mradi wa microchipped population yanapatikana hapa: http://www.illuminati-news.com/2007/0130a.htm. Wasioelewa athari za hiyo microchipped population wanaweza kudhani ni maendeleo makubwa haya! Sivyo ndugu zanguni, ni mbinu ya kuwaingiza watu wote kwenye freemasonry kwa lazima (maana kila asiye na alama hiyo atakosa huduma muhimu). Kwa taarifa yenu huu mradi umeshajaribiwa kwenye wanyama kama mbwa na umeonekana kuwa unafanya kazi kama inayokusudiwa (rejea: http://petcaretips.net/microchipping-dog.html). Ukiwa na hiyo microchip implant mwilini mwako, wanaweza kukufuatilia popote ulipo na chochote unachofanya kwa wakati huo kupitia satellite (hata ujifiche wapi!). Huku UK kuna campaign za kupinga kitu hicho ambacho watu wanahisia kinakusudiwa kuanzishwa katika miaka 10 ijayo. Lakini kutokana na mradi wenyewe kuwa hi-tech, ni wachache wanaoujua, na hata kampeni za kuupinga ziko kwenye mtandao wa internet zaidi ambako watu wanaombwa ku-sign petition kuupinga. Details hapa: http://web.ukonline.co.uk/mandrob/html/id_cards_microchipped_populati.html.

umeona eeehh kazi ipo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.