ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, May 22, 2010

NYUMBA MABANGO KWA MATANGAZO YA BIASHARA. JE! MWENYE NYUMBA ANANUFAIKA?

ZURURA YA KAMERA YANGU LEO IMEAMUA KUTOKA HIVIII... JE! UNALOLOTE?
NO 1
NO 2
NO 3
NO 4
NO 5
NO 6
NO 7

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. NAAM MWENYE NYUMBA KAFAIDIKA . NYUMBA INANGARA NAKUVUTIA MPITA NJIA LAZIMA ATUME MACHO NA INAKUA ALAMA YA WANAOPOTEA. SASA UKIFANYA TAMAA HATA RANGI HUTOIONA NENDA NA WAKATI. HIYO BIASHARA YA KULIPWA BADO HAIJATUA MWANZA. LABDA UKISIKIA VILABU INAANZA KUWEKA WACHEZAJI WA KULIPWA WACHEZA MPIRA WA TANZANIA NI WACHEZAJI WA KULIPWA NA WEWE UTALIPWA NA KUPIGIWA RANGI.

    ReplyDelete
  2. kweli wasukuma mume lala kama sii kusinzia. Hivi ninyi mkojeeee ? mna dhahabu bado maisha yenu duniii na hili la matangazo tema mumelalaaaaa
    mumeshazikwa bila kujua mbona mabo haya arusha moshi na dar hayapo kwa nguvu hivyo?

    ReplyDelete
  3. Jamani umenikumbusha nyumbani tanzania yaani hayo maeneo ya nyakato igoma ndio maskani kweli mwanza nzuri

    ReplyDelete
  4. this is a poor form of marketing done by big company's to try take over the people with there products. i personaly would not like my house to be covered by logos, images and messages.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.