ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 2, 2010

SOKA LA BONGO USHIRIKINA MBEFELE!

MASHADANKA YAKIWA KATIKA GLOVS ZA KIPA WA TOTO ALIYOKUWA AMEHIFADHI GOLINI MWAKE HATIMAYE YALIFUKUNYULIWA NA MNAZI MOJA WA SIMBA (ANAYEYAANIKA KWA WANDISHI WA HABARI), DAKIKA CHACHE BAADAYE SIMBA WALIOKUWA HAWAONANI WAKAANZA KUONANA, MUSSA HASSAN MGOSI AKAFUNGA GOLI LA KWANZA NABADAE RAMADHANI CHOMBO 'REDONDO AKAONGEZA JINGINE WAKATI SIMBA ILIPOPATA USHINDI WAKE WA 14 MFULULIZO BAADA YA KUIFUNGA TOTO 2-0.
SHABIKI HUYO ALIYEWAUMBUA TOTO ILE KIPUTE KINAMALIZIKA TU NA REFA KUPULIZA KIPYENGA KUASHIRIA NGOMA METII ALIANGUKA UWANJANI HAPO NA KUANZA KUPEPEWA. SAMBAMBA NA HILI VYUMBA VYA KUBADILISHIA NGUO WACHEZAJI VILIKUTWA VIKIWA VIMETAPAKAA DAMU ISIYOJULIKANA NI YA MNYAMA GANI.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. sasa ni kwanini basi kamati za miba za yanga, simba,toto,majimaji,mtibwa na timu zingine zote za nchini zisiungane na kuunda kikosi cha miba taifa ili stazi ichukue kombe la dunia, badala ya TFF kushikilia kamati wenyewe wakati timu ni ya taifa

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.