ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 9, 2009

SIJATUKANA MJOMBA


KWA TAFSIRI YA HARAKA HARAKA UKISOMA HILO GAMBA NYUMA YA KIBAJAJI WAWEZA SHTUKA, LAKINI KWA WEWE UTAKAYE KAA CHINI NA KUTAFAKARI KAULI YAKO ITAKUWA 'KWELII AISEEE!' LIFE IS TOO SHORT, TOO SHORT TO LIVE IN ANGER, LIFE IS TOO SHORT, TOO SHORT TO LIVE WITH DANGER. HAKIKA HAKUNA ATAKAYEBAKI BIKIRA KWANI MAISHA YANATIA ADABU KILA MMOJA WETU..

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. Heshima kwako Kaka.
    Mara nyingi maneno tuonayo yana maana zaidi ya moja. Ni suala la nani anatafsiri vipi kwa manufaa ya nani ili imfae vipi.
    Wengi wangeona hayo kama matusi kama hawatasoma na kutafakari hayo uliyoandika. Lakini hakuna ubishi kuwa kama "virginity" ndio uumbwaji wetu, tunabadilika saaana na "HAKUNA ANAYEBAKI NA TABIA, AKILI, UPENDO, MSHIKAMANO NA HATA HESHIMA ALIYOZALIWA NAYO KWANI MAISHA HUTUBADILI SAAAANA"
    Kuna anayeweza kubisha katika hili?? Nina hakika wapo kwani hili ulilobandika hapa kwa wengine laweza kuwa Tatizo hasa wanaposahau kuwa "THE WAY YOU SEE THE PROBLEM IS THE PROBLEM"
    Blessing Bert

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.