ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 20, 2009

MACHIMBO MADOGO MAPYA YA ALMASI NYAMONGOLO WILAYANI MISUNGWI MWANZA.


HAPA NDO KWAAANZA NGOMA IMEANZA SHIMO JIPYA KUSAKA MADINI, ALIYEPEMBENI NI MMILIKI WA SHIMO AKISIMAMIA SHUGHULI.


KAMA NI SUALA LA AFYA HIKI NI MOJA YA VYOO KATIKA KUJISITIRI WANA MIGODISTI. KWA WAPENDA CHABOOZ! UKIWA JUU YA VILIMA VYA MALUNDO YA UDONGO ALIYEKO NDANI WAMCHORA FRESH... UTAIPENDA


KAZI INAENDELEA BUSINESS INAFANYIKA HILI NI MOJA KATI YA ENEO LA BONDE LENYE MASHIMO MANNE WAMILIKI TOFAUTI NA HAWAINGILIANI


ENEO HUBAKI NA MASHIMO MAKUBWA SAMBAMBA NA VILIMA VYA UDONGO, NA HII NI KUTOKANA NA UTARATIBU MBOVU WA WACHIMBAJI KWANI MARA WAMALIZAPO SHUGHULI ZA USAKAJI MADINI YA ALMASI MASHIMO HUYAACHA BILA KUYAFUKIA. TENA WENGINE WAKISHATUSUA YAANI WANAPOTEA KABISA.


NALO ENEO HILI LILIKUWA TAMBARARE TENA MAKAZI YA WATU.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Haya ndiyo niliyoandika na yakatolewa maoni kwenye post yangu. Unaweza kusoma maoni ya Profesa Mbele na yale niliyomjibu hapa kwenye post hii
    http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/12/them-i-themnothing-to-smile-about.html

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.