Tupe maoni yako
Je,shambulio la Israel dhidi ya Iran linaonyesha nchi hizo hazifahamu uwezo
wa kila mmoja kijeshi?
-
Ikiwa shambulio la Isfahan halitafuatiwa na mashambulizi zaidi, basi
mvutano wa utapungua haraka
2 hours ago
ya kale ni dhahabu, wakumbuka enzi za masukari, ladha ya j5, the show, na zingine kadhaa? anywayz nimepita kusalimu kwa salamu yetu ile ile tuloianza tangu tukiwa sakina na ngarenaro na kijenge bila kusahau njiro, yaani HEEII HEEEEEIIIIII. PAMOKO
ReplyDeleteAgape Msumari wa viva afrika ni balaa! Uko juu
ReplyDelete