ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 10, 2009

MUHESHIMIWA IN DA HOUSE

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MBUNGE WA WILAYA YENYE KASI KTK MAENDELEO (SENGEREMA) MH. WILLIAM NGELEJA (mwenye t.shirt nyeupe) AKISHOW LOVE NA WADAU WA FILAMU YA CONFUSION YENYE WASHIRIKI WENYE MAJINA MAKUBWA NCHINI KAMA GADNA G. HABASH, SALAMA JABIR, MAUNDA ZORO NA WENGINE KIBAO.
FILAMU INA MAZINGIRA YA MIJI MIWILI MIKUBWA HAPA NCHINI DAR ES SALAAM NA MWANZA ILE HALI MWANZA IKICHUKUA ASILIMIA KUBWA KTK MATUKIO YA PICHA, MAZINGIRA NA WAIGIZAJI.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. mimi nitaipataje hiyo movie huku UK?
    Bwana usishangae napokuwa kimya mi kila siku lazima nikutembelee nilifurahi niliona magazeti lakini yalikuwa yanazoom kidogo hivyo nilishindwa kusoma yanatakiwa yajae screen unapoyafungua,
    anyway kazi njema

    BMK

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.