ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 3, 2009

LIVE NDANI YA SRAR TV.



SHINDANO LA WALEMAVU MUSIC STAR SEARCH NDANI YA STAR TV LIMEPAMBAMOTO WASHKAJI WANAKAZA ILE MBAYA!!. KAMA VIPI JUMAMOSI SAA 5USIKU NA MARUDIO JUMAPILI SAA 7MCHANA. HOPE IMEKAA NJEMA.....

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. hiyo picha ya pili sioni ulemavu wa huyo jamaa hebu nisaidie

    BMK

    ReplyDelete
  2. jamaa anatatizo la vikanyagio ni suruali tu ndiyo imeficha akiwa kwenye poz la kukaa lakini akitembea utagundua some thing is wrong.. asante sana bmk. Nitumie picha yako ya poz kali ukiwapa hi mafriends popote ulimwenguni ktk email albertgsengo@yahoo.com

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.